Jiolojia
Geology
Milima Ni Kama Vigingi vya Hema
Mountains Are Like Tent Pegs
Katika jiolojia, jambo la "mikunjo" (folding) ni ukweli uliogunduliwa hivi karibuni. Mikunjo ndiyo inayosababisha kuundwa kwa safu za milima. Ukoko wa dunia, ambao sisi tunaishi juu yake, ni kama ganda gumu, wakati tabaka za ndani zaidi ni moto na zenye umajimaji, na kwa hiyo haziwezi kuishi aina yoyote ya uhai. Pia inajulikana kwamba utulivu wa milima unahusiana na jambo la mikunjo, kwani ni mikunjo hiyo iliyotoa misingi kwa maumbo ya ardhi yanayounda milima.
In geology, the phenomenon of ‘folding’, is a recently discovered fact. Folding is responsible for the formation of mountain ranges. The earth’s crust, on which we live, is like a solid shell, while the deeper layers are hot and fluid, and thus inhospitable to any form of life. It is also known that the stability of the mountains is linked to the phenomenon of folding, for it was the folds that were to provide foundations for the reliefs that constitute the mountains.