7 Watawala (wulah)
7 The governors (wulah)
Wali (gavana) ni mtu ambaye Khalifah humteua kuwa mtawala na Amiri juu ya Wilayah (jimbo) katika Dola ya Khilafah.
The Wali (governor) is the person whom the Khalifah appoints as ruler and Amir over a Wilayah (province) in the Khilafah State. .
Maeneo ambayo Dola ya Kiislamu inayatawala yangegawanywa katika mikoa, na kila mkoa ungejulikana kama Wilayah. Wilayah nayo ingegawanywa katika wilaya, na kila wilaya ingejulikana kama Imalah. Mtu aliyeteuliwa kusimamia Wilayah angejulikana kama Wali, au amiri, na mtu aliyeteuliwa kwa ajili ya Imalah angejulikana kama amil au hakim (mtawala).
The territories which the Islamic State rules over would be divided into provinces and each province would be known as a Wilayah. The Wilayah would in turn be divided into districts and each district would be known as Imalah. The person appointed over the Wilayah would be known as the Wali, or an amir, and the person appointed for the Imalah would be known as the amil or the hakim (ruler). .
'Imalah imegawanywa katika vitengo vya kiutawala, ambapo kila kimoja kinajulikana kama mji mkuu (Qasabah), na Qasabah imegawanywa katika vitengo vidogo vya kiutawala, kila kimoja kikijulikana kama mtaa (Hayy). Kiongozi wa Qasabah pamoja na wa Hayy anajulikana kama meneja; na kazi yake ni ya kiutawala.