Dalili ya Pili: Sunnah ya Mtume ﷺ Tukufu
The Second Daleel: As Sunnah An Nabawiyah Ash Shareefah
Ufafanuzi wa As-Sunnah:
Definition of As-Sunnah:
Kilugha, As-Sunnah maana yake ni: Njia iliyokanyagwa (au njia inayofuatwa), na asili yake inatokana na matumizi yao (Waarabu).
As-Sunnah linguistically means: The path that is trodden (or the way that is followed) and its origin comes from their (the Arabs) usage:
"Nilitengeneza kitu kwa jiwe la kusagia" (yaani, kama kuchonga njia).
‘I forged something with a grindstone’ (i.e. like carving a path).
Hii ni katika hali ambayo nilipitisha kitu (jiwe la kusaga) ndani yake hadi "sannan" yaani njia (tariiq) ikaundwa ndani yake (yaani kama kuchora njia).