Sura ya Tatu
The Third Chapter
Kwanza: Al-Ijmaa’ (Makubaliano):
Firstly: Al-Ijmaa’ (Consensus):
1 – Maana yake na umuhimu wake kuhusiana na Ahkaam Ash-Shar'iyah.
1 – Its meaning and importance in respect to the Ahkaam AshShar’iyah.
2 – Uhujjiyah wake (uhalali wake kama hoja na ushahidi), uwezekano wa kutokea kwake, na maoni ya Maulamaa kuhusu hilo.
2 – Its Hujjiyah (validity as a proof and evidence), the possibility of its occurrence and the opinions of the ‘Ulamaa in respect to that.
3 – Viwango (au daraja) vya Al-Ijmaa’, Ahl (watu) wa Al-Ijmaa’ na masharti yao.
3 – The levels (or grades) of Al-Ijmaa’, the Ahl (people) of Al-Ijmaa’ and their conditions.
4 – Mustanad Al-Ijmaa’ (Msingi wa Ijmaa’)
4 – Mustanad Al-Ijmaa’ (what the Ijmaa’ rests upon)
Pili: Al-Qiyaas (Kulinganisha kwa mfano):
Secondly: Al-Qiyaas (Analogy):
1 – Ufafanuzi wake na umuhimu wake katika Fiqhi ya Kiislamu.
1 – Its definition and significance within Islamic Fiqh.
2 – Uhujaji wa Al-Qiyaas na maoni ya Maulamaa kuhusu kuutumia na dalili zake.
2 – The Hujjiyah of Al-Qiyaas and the opinions of the ‘Ulamaa in respect to working with it and its evidences.
3 – Nguzo (vipengele) vya Al-Qiyaas: ‘Al-Asl (chanzo), Al-Far’ (tawi), Hukm ul-Asl (hukumu ya chanzo) na Al-‘Illah (sababu)’.
3 – The Arkaan (pillars) of Al-Qiyaas: ‘Al-Asl (origin), Al-Far’ (branch), Hukm ul-Asl (original Hukm) and Al-‘Illah (reason)’.
4 – Aqsaam (migawanyo/aina) za Al-Qiyaas, viwango vyake kwa kuzingatia Al-Hukm, na Al-Qiyaas juu ya Al-Hikmah (hekima).
4 – Aqsaam (divisions/categories of) Al-Qiyaas, its levels (grades) in respect to Al-Hukm and Al-Qiyaas upon Al-Hikmah (wisdom).
5 – Al-Qiyaas na An-Nusoos (maandiko)
5 – Al-Qiyaas and An-Nusoos (the texts).