37.6 Jambo linaloruhusiwa [al-mubāh]
37.6 The permissible [al-mubāh]
Ruhusa ni kile ambacho dalili ya kimaandishi inaonyesha kuwa ni khitabu cha Mwenye kutunga sheria (Shari') kinachotoa uchaguzi ndani yake kati ya kufanya na kuacha, bila kumpendelea mmoja kuliko mwingine. Ibaha ni miongoni mwa hukumu za kisheria, kwa sababu inajulikana kutokana na khitabu cha Mwenye kutunga sheria, na haiwezi kuthibitishwa kwa njia nyingine. Ibaha si kuondolewa kwa madhara katika kutenda kitendo au kukiacha. Kama ingekuwa hivyo, basi sheria yake ingethibitika kabla ya kuja kwa wahyi, ilhali hakuna wahyi kabla ya kuja kwake. Bali ibaha ni kile ambacho khitabu cha Mwenye kutunga sheria kilikuja nacho cha uchaguzi kati ya kufanya na kuacha. Inathibitishwa kutokana na wahyi na baada ya kushuka kwake; kwa hivyo ni miongoni mwa hukumu za Shari'ah.
The permissible is that which textual evidence indicates upon as being the address of the legislator with a choice given in it between performance and abstention, without one being preferred over the other. The permissibility [ibāhah] is from the legal rulings, because it is ascertained from the legislator’s address, and cannot otherwise be established. The ibāhah is not the removal of harm from the commission of an action or its omission. If this were the case then its legislation would be established before the advent of the revelation, whilst there is no revelation prior to its coming. Rather the ibāhah is that which the address of the legislator came with of choice between performance and abstention. It is established from the revelation and after its advent; hence it is from the ahkām shari’ah.